+255 776 664 040
info@cosoza.or.tz

Events & News Information

Heading: 

Wageni kutoka WIPO

Date: 

2019-07-24

Description: 

Ofisi ya COSOZA wapokea ugeni kutoka WIPO na kuwapa maelezo juu ya ofisi pamoja na kuwapa zawadi kutoka hapa Zanzibar ambazo ni utambulisho wa Zanzibar. Vile vile wageni hawa walitembezwa sehemu mbali mbali kama safari ya Spice Tour.