+255 776 664 040
info@cosoza.or.tz

Events & News

News updates conserning COSOZA

6
August 2019

Maelezo kuhusu Leseni

Ofisi ya COSOZA watoa elimu juu Leseni zinazotakiwa kulipiwa ili kutumia haki miliki za wasanii kwenye kupata riziki zao za kila siku.

1
August 2019

Kuchoma CD

Afisi ya msajili haki miliki yakamata na kuangamiza vinasa sauti (CD) ambavyo vimekamatwa kwa wauzaji wasio na leseni na kwa wenye vivuli vya kazi za

25
July 2019

Semina ya Wauzaji na Wakodishaji wa Vinasa Sauti Vya Kusikia na Picha

COSOZA waandaa semina kwaajili ya kuwaelimisha wauzaji na wakadishaji wa vinasa sauti vya kusikia na picha juu haki miliki za wasanii na ulipaji wa il

24
July 2019

Wageni kutoka WIPO

Ofisi ya COSOZA wapokea ugeni kutoka WIPO na kuwapa maelezo juu ya ofisi pamoja na kuwapa zawadi kutoka hapa Zanzibar ambazo ni utambulisho wa Zanziba

19
July 2017

Msimamizi Mkuu wa haki miliki Zanzibar kuelezea hakimiliki

Msimamizi Mkuu wa haki miliki Zanzibar aelezea kwa kina kuhusu haki miliki juu ya vitu tofauti mfano kazi za sanaa na vyengine.